DIAMOND ATOA OFFER KWA WATOTO 1O WA KITANZANIA KWENDA SOUTH AFRICA KWENYE BIRTHDAY YA TIFFAH
Msanii maarufu ,Tanzania na CEO wa wcb,diamond platnumz ameamua kutoa offer kwa watoto 10 wa kitanzania kwenda kushereheka pamoja kwenye birthday party ya mtotot wake wa kwanza .Tiffah Platnumz,huko south africa,offer hyo itatolewa kwa watoto hao pamoja ma wazazi wao,tunasubiria kujua hivi soon ni kina nani na nai watapata shavu hilo
stay tune hapa hapa kiumbetz.blogspot.com
stay tune hapa hapa kiumbetz.blogspot.com
No comments