wema alipa faini ya milionil 2 badala ya kifungon mwaka 1 jela
diva wa tanzania bibie wema abraham sepetu,alifika leo katika mahakama ya kisutu jijini dar es salaam,ambako alikwenda kusikiliza kesi inayomkabili ya matumizi ya madawa ya kulevya ,katika kesi hiyo hakimu mfawidhi wa mahakama ya kisutu alimhukumu msanii huyo kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya fedha taslim milioni moja,katika kesi hiyo msanii huyo amefanikiwa kulipa faini ya milioni 1,na sasa yupo huru
No comments