Recent Posts

Breaking News

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, juzi aliunguruma Mjini Babati akimnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Bugara, Nicodemus Tlaghasi ambapo aliwaomba wakazi hao kumchagua Nicodemus ili kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli katika juhudi zake za kufanikisha maendeleo ya wananchi hasa miradi mikubwa aliyoanzisha.
Aliwakumbusha kuwa, maendeleo yanayoonekana hapo Babati ikiwemo barabara za lami na miradi ya maji, ni juhudi za  Magufuli.

No comments