Recent Posts

Breaking News

Mbunge wa Mbeya Mjini, II Proud (Sugu) akiri wazi kuwa, hawezi kuandika "Zinjanthropus" na jina la "George"

Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi @II Proud Mr II Sugu, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi jana ofisini kwao, alikiri wazi kuwa, yeye hana uwezo wa kuandika neno "Zinjanthropus" na hata jina la "George" lakini akadai hiyo haina maana kuwa hajui kuandika.
Mbilinyi ndiye Waziri Kivuli wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa nyingi za Serikali, pamoja na Mikataba na Sheria IMG_5177.JPG huandikwa kwa kiingereza. Viva mzee.

No comments